Kwa kutumia Panther® 2-katika-1, una mwongezeko wa nguvu na ufanisi katika machine yako ya kuchanganya.
Ishara ya nguvu tangu mwanzo wa enzi, panther (chui mweusi) ni nembo ya hamira hii ya 2-katika-1, kwa sababu kila kitu kimewekwa pamoja katika utatuzi huu wa kuhakikishia waokaji wawe na mikate bora kwa urahisi.
Ukichanganya hamira na kiboreshaji mkate, utatuzi huu una “Ufanisi mkali” kwa sababu unachanganya sifa za kuumusha za hamira ya ubora wa hali ya juu na sifa za mjazo na ustahimili za viboreshaji mkate.
Dhahabu
Toleo la “dhahabu” la Panther® linawezesha kufanikisha, kwa kupita kiasi, uzalishaji wa bidhaa za mikate zenye zaidi ya 5% ya sukari kwa msaada wa jamii ya hamira iliyobadilishwa ili ifae hali za sukari nyingi.