Hamira Mbichi ya Hasmaya 500g

DOSUMAYA : your smart partner of success

Kwa ajili uwezo wake wa kusaidia uumukaji, hamira ya kuokea ya asili asilia, ijulikanayo kwa jina la Hasmaya, hutumika kutengeneza mikate.

Ikiwa na umbo la vipande vinavyo meng’enyeka, hamira mbichi ya Hasmaya ni rahisi kutumia kwa sababu inameng’enyeka moja kwa moja wakati wa matengenezo na umbo lake la vipande vilivyogandana hupunguza uwezo wa kuingiza oksijeni ya hewani na hivyo kuiwezesha iendelee kubaki kamilifu.

Hamira mbichi ya Hasmaya imefungwa katika vifurushi ili kulinda asili na sifa zake za kiasilia, na pia wakati huo huo kuilinda hamira na kuhakikisha utunzaji wa hali yake ya usafi.

Aina zote za mikate zinaweza kutengenezwa kwa kutumia hamira mbichi ya Hasmaya.