
Viboreshaji mkate mara nyingi hutumika kuboresha manda na kuongeza uthabiti wa unga katika nyakati tofauti za utengenezaji.
Safu ya viboreshaji vya Top-Mix® imetengenezwa ili kurahisisha kazi ya kila siku ya waokaji na kuboresha sifa za mkate.
Safu ya Top-Mix® huchanganywa na Pasha®, Hasmaya® au Hamira kavu ya papo hapo ya Panther® kwa ajili ya matokeo mazuri zaidi, yawe uzuri au mwonekano.
Usitafute mbali, hili NDILO jibu kwa ajili ya kupata mikate ya kuvutia, kutia hamu ya kula na mitamu!